Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba, 2014

KAKAKUONA AONEKANA HUKO KIGAMBONI DAR ES SALAAM

Picha
 Mtoto akiangalia bila woga Kakakuona aliyepatikana nyuma ya nyumba ya Tatu Katala, Mtaa mpya wa Chaboko, Kigamboni Dar es Salaam jana. Mnyama huyo ambaye kuonekana kwake ni nadra inadaiwa ana uwezo wa kutabiri matukio mbalimbali yanayoweza kutokea siku za usoni. Kwa mujibu wa mtoa maelezo ya utabiri huo, Nadhiru Ali alisema siku zijazo nchi itakumbwa na vurugu lakini siyo vita, baada ya mnyama huyo kugusa sarafu, unga na kunywa maji.    Mama mwenye nyumba akizungumza na maafisaa mali asili Mwananchi akimwangalia Kakakuona kwa ukaribu zaidi wananchi wakiangalia Kakakuona baada ya kuchukuliwa kwa gari Mpigapicha wa gazeti la Jambo Leo, Khamis Mussa akimshika Kakakuona ili apate neema na baraka  Kakakuona MNYAMA Kakakuona ameonekana Kigamboni, Dar es Salaam, ambapo pamoja na mambo mengine ametabiri mwakani kutokea vurugu lakini si vita. Utabiri huo umekuja siku moja baada ya Mtoto wa aliyekuwa Mtabiri Mashuri Afrika Mashariki na Kati, Sheikh ...