![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi8PWiTqKy12ZA2cNAG_jyzZ2DurRSfgt3kVjdIpoz1bci9RvVsofW7kcZ7zNEVOqKitn_lzRbdDALSQIPzTGozeB2-sqsofzvIeiVL340BrL_muv_uWxHu4KT8VMKx3Kv5zbbYEI_4ji4/s400/KITUNGUUMAJI.jpg)
Kitunguumaji ni aina ya mboga ya yungiyungi.
Ni mboga
yenye harufu kali inayochangamsha.
Kitunguu kimethibitika kisayansi kuwa na manufaa
makubwa sana katika afya ya mwanadamu.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgIfNakVR9-nZgxPbts2VVxKZlfedRSBolOqxXxJMOxvrJVKfh9SyuNxZfyouasad_K8QrZepvykRSa3PARaTCdgNzXlhI57UYuNazRSmx5OnBy8YdfZ3y9TmDQCZceVq-GKqcK_cxvdLQ/s1600/JUISIYAKITUNGUU.jpg)
Zifuatazo ni faida za kiafya za kitunguu maji.
1.
Juisi
ya Kitunguu Huua
vijidudu vya kifua
kikuu.
Tafiti mbalimbali za kisayansi zimethibitisha kuwa juisi ya kitunguu ina uwezo wa kuua vijidudu vinavyosababisha maradhi ya kifua-kikuu(Huua baada tu ya mgonjwa kunusa moshi wake)
2. Kitunguu maji huongeza hamu ya kula.
Kitunguu maji
kikifanyiwa kuwa achari, ukali wake
hupungua huongeza mno hamu ya kula.
2.
Huupa
mwili nishati na
nguvu
Kitunguu maji
kikiliwa kikiwa kimechomwa, huongeza nguvu
na nishati mwilini
na huimarisha misuli ya
mwili.
3.
Huufanya uso
kunawiri
Kitunguu maji kikichomwa
na kasha kuliwa huufanya uso kuwa mweupe, mn’gavu na
wenye kunawiri.
4.
Kitunguu
maji huongeza hamu
ya kula
5.
Kitunguu
husaidia kulainisha tumbo
6.
Kitunguu
husaidia kutibu tatizo
la kukosa haja kubwa
7.
Kitunguu
maji kikipikwa na
kuliwa pamoja na
samli , husaidia kuongeza
nguvu za kiume
pamoja na kuboresha
nguvu za kiume.
8. Kitunguu kikitengenezwa supu
pamoja na nyama, huongeza hamu ya
tendo la ndoa
kwa wanawake.
9. Kitunguu
maji husaidia kutibu
homa ya manjano.
10.
Kitunguu maji husaidia kuvunja vijiwe tumboni
11.Kitunguu
maji hutumika kutibu
tatizo la kukosa
hedhi kwa wanawake
12.Kitunguu
maji kina utajiri
wa Vitamini C
ambayo husaidia kuzuia
kukua kwa bacteria
kwenye jeraha na kuongeza
nishati kwenye mbegu
za kiume.
13.Kitunguu maji kina madini ya salfa,chuma na vitamin ambayo husaidia kutia nguvu
kwenye mishipa
14.Kitunguu maji husaidia kuwatibu wagonjwa wa kisukari.
15.Kitunguu maji husaidia kutibu maradhi ya moyo pamoja na kuimarisha mfumo wa mzunguko wa damu mwilini.
16.Kitunguu maji kimethibitika kuwa vijiuasumu vyenye nguvu zaidi kuliko penesilini(penicillin)kwa hivyo hupoza kifuakikuu,kaswende(syphillis)na kisonono(gonorrhea),pamoja na kuua vijidudu
vingi vya hatari.
17. Hutibu tatizo
la Pumu:
Kitunguu maji kikitumika pamoja na asali, husaidia kutibu tatizo la pumu.
Kitunguu maji kikitumika pamoja na asali, husaidia kutibu tatizo la pumu.
17.
Husaidia
kutibu tatizo la Uvimbe wa pafu (Pneumonia )
18. Kituu maji husaidia
kutibu tatizo la Saratani za
aina mbalimbali.(Cancer):
19. Kitunguu maji husaidia kutibu vidonda ndugu.
19. Kitunguu maji husaidia kutibu vidonda ndugu.
20. Kitunguu maji husaidia kutibu tatizo la mvilio wa damu
21. Kitunguu maji husaidia kutibu majipu
22. Husaidia kutibu tatizo la Chunusi:
23. Husaidia kuondoa tatizo la Ukurutu (Eczema) kwenye ngozi.
24. Husaidia kutibu Saratani ya ngozi.
25.
Husaidia kutibu matatizo
ya figo.
26. Husaidia kutibu tatizo la Kikohozi kwa wakubwa na wadogo
27. Husaidia kutibu maradhi ya macho:
Kikohozi:
28. Husaidia kupunguza uzito wa mwili.
26. Husaidia kutibu tatizo la Kikohozi kwa wakubwa na wadogo
27. Husaidia kutibu maradhi ya macho:
Kikohozi:
28. Husaidia kupunguza uzito wa mwili.
IMETAYARISHWA NA NEEMA
HERBALIST & NUTRITIONAL FOODS CLINIC
0766 538384.
+ maoni + 2 maoni
Ni kweli kitunguu maji husaidia utunzaji wa kumbukumbu ktk ubongo. Huongeza ufaham
Asante kwa elimu yenu nimzuri sana
Chapisha Maoni