Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2013

DAKTARI WA KIINGEREZA AUWAWA KATIKA SHAMBULIO LILILOTOKEA NCHINI SYRIA

Picha
Dk Isa Abdur Rahman ,  mwenye umri wa miaka 26 mhitimu kutoka Imperial College London , alisafiri kwenda Syria kutibu raia waliojeruhiwa kutokana na vita vya wenyewe kwa wenywe vinavyoendelea nchini humo, ili kuiweka sawa kazi yake . Uingereza iliyokuwa Mkono kwa mkono na Syria ilieleza kuwa Dk Abdur Rahman alikufa muda mfupi baada ya mashambulizi ya Jumatano katika mji wa Idlib . Mwenyekiti Faddy Sahloul alisema Dk Abdur Rahman alikuwa " mmoja wa watu shujaa na wenye ari ambao nimekutana nao ".   "Nilikuwa karibu sana na Dk Isa , ni aibu kijana ambaye mimi kwa mara ya kwanza nilikutana nae miaka miwili iliyopita. " Sisi tulitumia kiasi kikubwa cha muda wa tukifanya kazi pamoja katika nchi za Uturuki na Syria. "Kila mtu ambaye aliyekuwa aikmfahamu alitishwa na kuhuzunishwa baada ya kusikia habari ya kutisha ya kifo chake, lakini tunaweza kuchora faraja kutokana na ukweli kuwa alikufa akiwa anafanya kazi amab...

TWIGA CEMENT YAJENGA BARABARA YA TEGETA

Picha
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Pascal Lesoinne (wa tatu kushoto) Diwani wa Kata ya Wazo, John Moro (kushoto kwake) wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Wazo Misikiti na PK Tegeta itakayojengwa na kampuni hiyo. Hafla ya uzinduzi ilifanyika Wazo Hill nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Wengine kutoka kulia ni Meneja Huduma za Jamii wa TPCC, Natasha D’Souza, Mkuu wa Rasilimali Watu wa kampuni hiyo, Jayne Nyimbo na Mwenyekiti wa Mtaa wa Wazo, Mtuzya Abdallah ,Mtuzya. Ujenzi huo utagharimu shs milioni 175.… Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Pascal Lesoinne (wa tatu kushoto) Diwani wa Kata ya Wazo, John Moro (kushoto kwake) wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Wazo Misikiti na PK Tegeta itakayojengwa na kampuni hiyo. Hafla ya uzinduzi ilifanyika Wazo Hill nje kidogo ya Jiji la Dar es Sala...

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YA MWAKA 2012/2013 YATARAJIWA KUTANGAZWA MNAMO WIKI HII PAMOJA NA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA BAADA YA KUONGEZEKA IDADI YA UFAULU KUTOKA 23% HADI 25%

Picha
Idadi ya ufaulu wa watahiniwa wa mwaka 2012/13 imeongezeka kutoka asilimia 23% hadi 25%  na imesemwa kuwa matokwe hayo yatatolewa mnamo wiki hii pamoja na matokeo ya kidato cha sita ambayo yamecheleweshwa kutoka kutoka na yale yaliyozuka juu ya ubadilishwaji wa matokeo ya kidato cha nne. habari hii inapatikana katika gazeti la mwananchi. Habari ambazo gazeti hili imezipata zinasema matokeo hayo ambayo yamewezesha kiwango cha ufaulu kupanda na kufikia asilimia kati ya 54 na 57 , huenda yakatangazwa wiki hii pamoja na yale ya kidato cha sita ambayo pia yamechelewa kutangazwa. Chanzo cha habari kutoka Necta kimesema matokeo hayo mapya yanaonyesha kuwa, ufaulu wa kuanzia daraja la kwanza hadi la nne umeongezeka kutoka asilimia 34.5 kwa matokeo yaliyotangazwa awali na huenda yakafikia asilimia 57. Hii inamaanisha kwamba watahiniwa wapatao 82,000 ambao awali walikuwa wamepata sifuri katika matokeo ya awali sasa wamepanda na kupata madaraja ya ufaulu katika matokeo mapya. K...

HAWA NDIO WAWAKILISHI WA TANZANIA BIG BROTHER 2013

Picha
  Mwakilishi wa Tanzania Fedha Kessy akiwasalimu mashabiki wake kwa kuwapungia bendera ya Tanzania. Kulia ni mtangazaji wa Shindano la Big Brother The Chase 2013 I Tanzania itawakilishwa na washiriki wawili Big Brother Africa 2013 inayoanza Mei 26, 2013, Ammy Nando jina kamili Amir Khan ni Mtanzania anayeishi Los Angeles, California na kazi yake ni model na Actor Hollywood.

Ndo kwanza naanza ila mambo yako jikoni kaa tayari kupata habari motomoto kupitia blogu hii