Mwakilishi wa Tanzania Fedha Kessy akiwasalimu mashabiki wake kwa
kuwapungia bendera ya Tanzania. Kulia ni mtangazaji wa Shindano la Big
Brother The Chase 2013 I
Tanzania itawakilishwa na washiriki wawili Big Brother Africa 2013
inayoanza Mei 26, 2013, Ammy Nando jina kamili Amir Khan ni Mtanzania
anayeishi Los Angeles, California na kazi yake ni model na Actor
Hollywood.


Chapisha Maoni