TWIGA CEMENT YAJENGA BARABARA YA TEGETA
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Pascal Lesoinne (wa tatu
kushoto) Diwani wa Kata ya Wazo, John Moro (kushoto kwake) wakikata
utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Wazo Misikiti
na PK Tegeta itakayojengwa na kampuni hiyo. Hafla ya uzinduzi
ilifanyika Wazo Hill nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Wengine kutoka
kulia ni Meneja Huduma za Jamii wa TPCC, Natasha D’Souza, Mkuu wa
Rasilimali Watu wa kampuni hiyo, Jayne Nyimbo na Mwenyekiti wa Mtaa wa
Wazo, Mtuzya Abdallah ,Mtuzya. Ujenzi huo utagharimu shs milioni 175.…
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Pascal Lesoinne (wa tatu
kushoto) Diwani wa Kata ya Wazo, John Moro (kushoto kwake) wakikata
utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Wazo Misikiti
na PK Tegeta itakayojengwa na kampuni hiyo. Hafla ya uzinduzi
ilifanyika Wazo Hill nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Wengine kutoka
kulia ni Meneja Huduma za Jamii wa TPCC, Natasha D’Souza, Mkuu wa
Rasilimali Watu wa kampuni hiyo, Jayne Nyimbo na Mwenyekiti wa Mtaa wa
Wazo, Mtuzya Abdallah ,Mtuzya. Ujenzi huo utagharimu shs milioni 175.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Saruji ya Twiga (TPCC), Pascal
Lesoinne (wa pili kushoto) Diwani wa Kata ya Wazo, John Moro (kushoto
kwake) pamoja na baadhi ya wakazi wa Wazo Hill, wakishangilia muda mfupi
baada ua uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Wazo Misikiti na PK
Tegeta itakayojengwa na kampuni hiyo. Hafla ya uzinduzi ilifanyika Wazo
Hill nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Wengine kutoka kulia ni
Meneja Huduma za Jamii wa TPCC, Natasha D’Souza, Mkuu wa Rasilimali Watu
wa kampuni hiyo, Jayne Nyimbo na Mwenyekiti wa Mtaa wa Wazo, Mtuzya
Abdallah ,Mtuzya. Ujenzi huo utagharimu shs milioni 175.

Lesoinne (katikati) akibadilishana mawazo na Diwani wa Kata ya Wazo,
John Moro muda mfupi kabla ya hafla ya uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa
barabara ya Wazo Misikiti na PK Tegeta itakayojengwa na kampuni hiyo.
Hafla ya uzinduzi ilifanyika Wazo Hill nje kidogo ya Jiji la Dar es
Salaam. Kulia ni Ofisa Mtendaji wa kata hiyo, Ibrahim Mabewa. Ujenzi huo
utagharimu shs milioni 175.
Baadhi ya watu waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa
barabara ya Wazo Msikiti na Tegeta PK itakayojengwa na kampuni ya Twiga
Cement.

Chapisha Maoni