Mwanasoka bora duniani ambae atambulikwa kwa jina Leonal Messi yupo matatani nchini hispania ni mara tu baada ya kushtakiwa na serikali ya hispania kwa kutolipa kodi ya makazi nchini humo.
Leonale Messi na baba yake ndio washtakiwa wakubwa wa kosa hilo hivyo serikali imewaambia kua wajitahidi kadiri wawezavyo waweze kulipa kodi la sivyo basi itabidi wahukumiwe kisheria. taarifa hizi zimepatikana nchini hispania hapo jana kupitia BBC dira ya dunia. kwa kweli ni jambo la fedheha na aibu kubwa kwa mtu maarufu kama Leonal Messi kufikia hatua ya kudaiwa na kupelekwa mahakamani kwa kutokulipa kodi ya makazi. Baba wa mchezaji huyo wa dunia amesema kuiambia mahakama kuwa atajitahidi kadiri ya uwezo wake aweze kulipa kodi hiyo.

Chapisha Maoni