RATIBA YA MAZISHI YA MAREHEMU MANGWAIR YABADILIKA

Kutokana na taarifa zilizopatikana kutoka kwa wanakamati ya mazishi ya marehemu Mangwair wamedai kua raiba ambayo waliiandaa kwa ajili ya mazishi ya marehemu huyo imebadilika kwani matarajio yalikuwa mwili wa marehemu uripoti nchini leo Jumamosi na taratibu za mazishi ziwe siku ya Jumapili lakini kutokana na taarifa iliyopatikana kutoka Afrika kusini kua mwili wa marehemu utawasilishwa nchini kesho saa nane mchana na utapitishwa Leaders Club kwa lengo la kuuaga mwili wa marehemu kisha mwili wa marehemu utasafirishwa na kupelekwa jijini morogoro maeneo ya kihonda ndipo ambapo mama ake anapatikana lakini pia ndipo alipozikwa marehemu baba yake. Hivyo basi wanakamati wanaomba radhi sana kutokana na haya ambayo yamejitokeza pasi na wao kujua. Kwa kweli marehemu alikuwa ni mtu wa watu na kipenzi cha watu sana na kifo chake kimewaagusa wengi mno akiwemo msanii mwenzake wa bongo fleva Diamond Platnum ambaye walipanga kufanya track ya ukweli pamoja na marehemu lakini ndo Mungu hakupenda iwe hivyo na hatimaye kufariki dunia. Mungu ailaze roho ya marehemu Mangwair mahali pema peponi. Aaamina

Picture of Mangwair


Marehemu Mangwair enzi za uhai ake
Share this post :

Chapisha Maoni


Get This:Techkgp

PAGE VIEWERS

About Me

Blog Archive

Blog za rafiki zangu

Get This:Techkgp
3D Live Statistics
 
Support : The Bantu | Mufandish | Mufandish Inc
Copyright © 2011. MUFANDISH NEWS - All Rights Reserved
Template Created by Mufandish Inc Published by Mufandish Mufandish
Proudly powered by Blogger