TUNDU LISU ACHOMA MOTO KADI ZA CCM,ANGALIA PICHA HAPA
Ni baada ya wananchi kuzikusanya na kuzipeleka kwenye mkutano aliokuwa akihutubia
Baada ya kutoa hotuba nzito na zenye kugusa matatizo ya wananchi,
wananchi hao walirudisha kadi zao na kwa kuwa kadi hizo lissu hakuja
nazo akazichoma moto.
Chapisha Maoni