
![]() |
| Quinton
Fortune, Mchezaji wa zamani wa Manchester United ambaye kwa sasa
anasomea fani ya ualimu wa soka kwenye kompaundi ya Manchester United
alipotembelea Azam FC Chamazi leo kwa mwaliko wa DHL, Fortune
alishangazwa na ubora wa Center ya Azam FC na kusema hajawahi kuona
kitu kama hiki kinachomilikiwa na klabu hata kwenye nchi yake ya Afrika
ya Kusini hakuna klabu inayomiliki Academy kama hiyo ya Azam fc ya Tanzania |






Chapisha Maoni