MWILI WA MTU WAKUTWA UKIELEA KWENYE MAJI YA MTO MKOKOZI (KONGOWE) DSM


Mwili wa mtu huyo ukielea kwenye maji ya Mto Mkokozi. 



Mwili wa marehemu baada ya kutolewa nje kabla ya kuzikwa na jiji.

Mwili wa mtu mmoja ambaye hakufahamika jina lake umeonekwa ukielea ndani ya Mto Mkokozi maeneo ya Kongowe jijini Dar es Salaam.....
 

Mwili wa mtu huyo ulipatikana baada ya wakazi wa eneo hilo kudai kuwa harufu kali ilikuwa ikitoka eneo hilo na ndipo waligundua maiti hiyo ambayo waliikuta ikiwa imeharibika kwa kiasi kikubwa.

Sambamba na hilo pia zipo maiti nyingi ambazo zimeokotwa kutoka yombo kutokana na maafa ya mvua zilizonyesha wiki zilizopita nyuma.
Share this post :

Chapisha Maoni


Get This:Techkgp

PAGE VIEWERS

About Me

Blog Archive

Blog za rafiki zangu

Get This:Techkgp
3D Live Statistics
 
Support : The Bantu | Mufandish | Mufandish Inc
Copyright © 2011. MUFANDISH NEWS - All Rights Reserved
Template Created by Mufandish Inc Published by Mufandish Mufandish
Proudly powered by Blogger