Mwimbaji Janet Jackson alisherehekea harusi na billionaire Wissam Al Mana miezi michache iliyopita. Unaweza kuwa na habari kwambaharusi hiyo iligharimu mamilioni ya dola, na tangu wakati huo Janet hajatoa filamu wala nyimbo yoyote
Tangu wakati huo imepatikana taarifa kwamba Janet ameelekea Mashariki ya Kati na kuingia katika Uislamu kwa maana ya kusilimu. Janet anasema kuwa pamoja na hayo anataka kuondokakatika ulimwengu wa muziki ili aweze kuishi na mumewe mbali kabisa na vyombo vya habari.
Al Mana alifanya shughuli hii ya ndoa kupitia kundi lake la Al Mana Retail ambalo linamilikiwa na kudhibitiwa na familia yake.
Hii ni ndoa ya tatu kwa Janet Jackson na ya mwishokufanyika kubwa na ndoa hii imeoneshwa katika Tyler Perry filamu, “Why Did I Get Married?”"Je kwa nini nimeolewa?"
Janet kwa sasa ana umri wa miaka 47-na bado anafikiria makubwa zaidi. Alipata mapumziko yake makubwa mwaka 1982 baada ya kudhibiti albamu. daima tutampenda Janet, kama anaishi Marekani, Mashariki ya Kati au mahali popote.

Chapisha Maoni