UFARANSA YAANZA VIZURI MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA 2014. YAICHARAZA HONDURAS MABAO 3 - 0


Karim Benzema akishangilia bao lake la kwanza aliloliingiza kimyani kwa mkwaju wa penati

Timu ya taifa ya soka ya ufaransa imeanza vizuri leo katika michuano ya kombe la dunia mwaka 2014. Ufaransa kwa ujumla wa magoli yote matatu yamepatikana kutoka kwa Karim Benzema kutokana na kazi pamoja na juhudi kubwa alizozifanya katika kuyatafuta magoli hayo.

BOFYA HAPO JUU UONE MAGOLI YA KARIM BENZEMA DHIDI YA HONDURAS

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA ZA KIAFYA ZA KITUNGUU MAJI KATIKA MWILI WA MWANADAMU

UFAHAMU MMEA WA MLONGE NA NAMNA UNAVYOFANYA KAZI NDANI YA MWILI WA MWANADAMU