PICHA ZA KAMATI ZA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO.
Makamu
Mwenyekiti wa Kamati Namba 11 ya Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Hamad
Yussuf Massauni akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo
kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper kuhusu mambo yaliyojiri katika
Kamati yake.Kulia ni Katibu wa Kamati hiyo Bakari Kishoma.
Baadhi
ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakijadiliana jambo mara baada ya
mapumziko ya kikao cha leo mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa
St. Gasper kulia hapo ni Profesa Hamza Njozi Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Adam Malima akijadiliana jambo na mjumbe
wenzake John Cheyo mara baada ya mapumziko ya kikao cha leo mjini
Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper.
Baadhi
ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakijadiliana jambo mara baada ya
mapumziko ya kikao cha leo mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa
St. Gasper.
Baadhi
wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wa Kamati Namba 11 wakiwa
wanaendelea na kikao cha Kamati hiyo mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa
mikutano wa St. Gasper.
Baadhi
wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wa Kamati Namba Moja wakiwa
wanaendelea na kikao cha Kamati hiyo mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa
mikutano wa St. Gasper.
Makamu
Mwenyekiti wa Kamati Namba 11 ya Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Hamad
Yussuf Massauni akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo
kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper kuhusu mambo yaliyojiri katika
Kamati yake.Kulia ni Katibu wa Kamati hiyo Bakari Kishoma.
Mwenyekiti
wa Kamati Namba Moja ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Ummy Ali
Mwalimu(katikati) akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo
kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper kuhusu mambo yaliyojiri katika
Kamati yake.Kulia ni Makamu wake ,Profesa Makame Mbarawa na kushoto ni
mjumbe wa Bunge hilo, Ali Kessy.(Picha zote na Kamati ya Bunge Maalum la
Katiba)
Chapisha Maoni