Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari, 2015

AKATWA KICHWA NA KUPIKWA VIUNGO

Picha
SAMAHANI KWA PICHA HIZI MAANA ZINATISHA SANA, TUWIYANE RADHI Ni Tukio la kuskitisha sana ktk kijiji cha songambele wilayani MLELE mkoani KATAVI watu wasiofahamika wamemvamia mwenyekiti wa kijiji cha songambele na kisha kutenganisha kichwa na kiwiliwili na pia sehemu zake za siri na kisha kukata mkono wake mara mbili baada ya kufanya kitendo hicho walichukua viungo walivyokata kutoka kwa mwenyekiti huyo na kisha kuvitia kwenye sifuria wakaweka maji na kisha kubandika kwenye moto na kuanza kuvipika baada ya Tukio Hilo watu hao walitokomea sehemu isiyofahamika polisi wilayani MLELE wanaendelelea na uchunguzi kubaini wahusika wa tukio Hilo. Tukio Hilo limetokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba ucku hayo ndo yaliyojiri wilayani kwetu MLELE.  

RAIS KIKWETE AAPISHA MAWAZIRI WAPYA IKULU

Picha
Tizama picha Moja wa Sura mpya katika baraza jipya la Mawaziri Naibu Waziri wa Elimu Anne Kilanngo Malecela akila kiapo Mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo,(PICHA NA FREDDY MARO) Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mawaziri na manaibu waziri aliowaapisha ikulu jijini Dar es Salaam jioni hii.Wanne kushoto ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi  Balozi Ombeni Sefue

KINANA AKIWA ANAMALIZIA ZIARA YAKE YA UNGUJA ASHIRIKI KATIKA UPANDAJI WA ZAO LA MWANI KUSINI UNGUJA

Picha
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kupanda zao la mwani katika Kijiji cha Kibigija, Jambiani, Wilaya ya Kusini Unguja, Zanzibar leo, akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi.PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG). Kinana akiwa na viongozi wengine wa CCM pamoja na wakulima wakiondoka baada kushiriki kupanda mwani.  Komredi Kinana akilakiwa na Mwakilishi wa Jimbo la Makunduchi, Haroun Ali Selemani alipowasili Kijiji cha Pete, Wilaya ya Kusini Unguja.  Komredi Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Makunduchi, Samia Suluhu Rashid alipowasili katika Kijiji cha Pete kusomewa taarifa ya chama na Serikali.  Kinana na Mbunge wa Jimbo la Muyuni, Mahadhi Juma Mahadhi wakitumia matoroli kubeba udongo wa kujengea jengo la CCM Jimbo la Muyuni Baadhi ya watalii wakipiga picha msafara wa Kinana eneo la Muyuni  Kinana akizungumza na Mwenyekiti mstaafu ...

WANAKIKUNDI CHA AMANI TANZANIA WAKUTANA NA KUJADILI MAMBO YA KIMAENDELEO HAPO JANA KATIKA HOTEL YA TRAVELTINE MAGOMENI

Picha
Hili kundi ni kundi la kipekee miongoni mwa makundi ya Whatsapp, kwani ni kundi ambalo limeamua liwe ni la kimaendeleo zaidi na si tu kuishia kuchati. Kwani makundi yaliyomengi ndo huwa yapo hivyo. Kundi hili la AMANI TANZANIA limejaribu kujiwekea malengo ambayo faida yake huja kupatikana kwa badae, miongoni mwa malengo hayo ni ikiwemo kusaidiana wao kwa wao katika dhiki na hata faraja mbali mbali. Mwanahabari wetu alipata nafasi ya kuzfanya mahojiano na kiongozi wa kundi hilo Bi. Maryam kuwa kundi letu lina malengo mengi sana, kwani pia tumeazimia endapo mfuko wa kundi utakapokuwa umekuwa tunaweza kumkopesha mwanakundi kiasi fulani cha pesa na kurejesha pasipokuwa na riba. Alisema Maryam. Kwa kweli hii ni hatua nzuri sana kwa vijana wa leo, ipo haja ya makundi mengine nayo yangeweza kuiga yote yanayofanywa na kundi hili kwa lengo la kujipatia maendeleo zaidi.  Baadhi ya wanakikundi cha AMANI TANZANIA wakijadili masuala ya kimaendeleo  Huyo wa kwanza kulia ni Mufand...

Mwanafunzi wa Kidato cha Pili Ajifungua Ndani ya Daladala Baada ya Kumeza Dawa za Kutoa Mimba

Picha
Huyu ndio yule mtoto wa kidato cha pili kajifungua ndani ya daladala kwa Aziz Ally Dar.......anasoma Kesho sec alijaribu kunywa dawa ya kutoa mimba mambo ndo yakawa hivo....yaani alivyovaa shungi sidhani kama mzazi wake ataamini....hivi nini kifanyike ili upataji mimba kwa wanafunzi upungue/uishe? Toa maoni yako

C. RONALDO ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA KWA MWAKA 2014 INAYO TOLEWA NA FIFA

Picha