Huyu ndio yule mtoto wa kidato cha pili kajifungua ndani ya daladala kwa Aziz Ally Dar.......anasoma Kesho sec
alijaribu kunywa dawa ya kutoa mimba mambo ndo yakawa hivo....yaani alivyovaa shungi sidhani kama mzazi wake ataamini....hivi nini kifanyike ili upataji mimba kwa wanafunzi upungue/uishe?
Toa maoni yako
Chapisha Maoni