AKATWA KICHWA NA KUPIKWA VIUNGO

SAMAHANI KWA PICHA HIZI MAANA ZINATISHA SANA, TUWIYANE RADHI

Ni Tukio la kuskitisha sana ktk kijiji cha songambele wilayani MLELE mkoani KATAVI watu wasiofahamika wamemvamia mwenyekiti wa kijiji cha songambele na kisha kutenganisha kichwa na kiwiliwili na pia sehemu zake za siri na kisha kukata mkono wake mara mbili baada ya kufanya kitendo hicho walichukua viungo walivyokata kutoka kwa mwenyekiti huyo na kisha kuvitia kwenye sifuria wakaweka maji na kisha kubandika kwenye moto na kuanza kuvipika baada ya Tukio Hilo watu hao walitokomea sehemu isiyofahamika polisi wilayani MLELE wanaendelelea na uchunguzi kubaini wahusika wa tukio Hilo. Tukio Hilo limetokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba ucku hayo ndo yaliyojiri wilayani kwetu MLELE. 
Share this post :

Chapisha Maoni


Get This:Techkgp

PAGE VIEWERS

About Me

Blog Archive

Blog za rafiki zangu

Get This:Techkgp
3D Live Statistics
 
Support : The Bantu | Mufandish | Mufandish Inc
Copyright © 2011. MUFANDISH NEWS - All Rights Reserved
Template Created by Mufandish Inc Published by Mufandish Mufandish
Proudly powered by Blogger