AJALI MBAYA YATOKEA KARIAKOO USIKU HUU.


 Basi lililogonga treni likionekana kwa ndani mara baada ya ajali hiyo kutokea

Taarifa iliyotufikia hivi punde, inaeleza kuwa Basi la UDA lenye namba za usajili T 696 CVP limegonga treni katika eneo la Kamata Jijini Dar es Salaam usiku huu wakati Basi hilo likotokea stendi ya Gerezani Kariakoo kuelekea Mbagala, inadaiwa kuna watu wamejeruhiwa katika ajali hiyo huku wengine wakidhaniwa kupoteza maisha. tutawaletea taarifa kamili baada ya kuipata kutoka vyombo vya Ulinzi wa Usalama jijini Dar es 
salaam.
 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA ZA KIAFYA ZA KITUNGUU MAJI KATIKA MWILI WA MWANADAMU

UFAHAMU MMEA WA MLONGE NA NAMNA UNAVYOFANYA KAZI NDANI YA MWILI WA MWANADAMU