Machapisho
Inaonyesha machapisho kuanzia Oktoba, 2016
MATOKEO YA DARASA LA SABA MWAKA 2016 HAYA HAPA
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA (TFDA) YAFANYA ZIARA LEO KATIKA SHULE YA SEKONDARI KAZAMOYO ILIYOPO IKWIRIRI - RUFIJI PWANI
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Mamlaka ya dawa na chakula nchini (TFDA) imefanya ziara yake leo katika shule ya sekondari Kazamoyo iliyopo wilaya ya Rufiji mkoani Pwani. TFDA Ni mamlaka ianayofanya kaza ndani ya wizara ya afya na hasa kuhakikisha kunapatikana udhibiti mzuri wa matumizi ya vipodozi ili kuokoa afya za watanzania kwa ujumla. Udhibiti huu unaanzia pale ambapo kipodozi kinatoka hadi kufika kwa mtumiaji. TFDA Imeweza kutoa mafunzo mbalimbali kwa wanafunzi pamoja na walimu yanayohusu matumizi ya vipodozi. Kwani imeonekana asilimia kubwa ya watanzania wanatumia vipodozi ambavyo vina athari kiafya. Hivyo TFDA imeweka bayana vipodozi ambavyo ni tatizo kwa mwanadamu na vile ambavyo si tatizo kwa mwanadamu. Vipodozi ambavyo ni tatizo kwa mwanadamu TFDA walijaribu kuvionesha vichache ambavyo walikuwa navyo kwa muda huo na utavikuta katika picha hapo chini, ila kwa maelezo zaidi na ufafanuzi zaidi unaweza kuwatembelea katika ofisi zao zilizopo maeneo mbalimbali hapa nchini, kwa wale wa Dar Es...
MISHAHARA KUPANGWA UPYA NA SERIKALI
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha kitabu Kiitwacho ‘From Lumumba Street to the Hill and Beyond’ baada ya kukizindua katika kilele cha maadhimisho ya Miaka 55 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaa katika ukumbi wa Nkurumah Dar es Salaam jana. Kushoto kwake ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Rwekaza Mukandala, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Dkt Leonard Akwilapo na Naibu Makamu Mkuu wa UDSM, Profesa Florens Luoga. (Pichana Robert Okanda) SERIKALI imeahidi kuboresha na kuimarisha maslahi kwa watumishi wote wa umma kupitia Bodi ya Mishahara na motisha mara watakapokamilisha uhakiki wa taarifa za kiutumishi kwa wafanyakazi wa umma, ambao utawezesha kupanga upya mishahara na motisha kwa watumishi. Aidha, imesema italipa madeni yote inayodaiwa na watumishi wake wote mara itakapomaliza kufanya uhakiki huo ili kubaini watumishi hewa. Ahadi hiyo ilitolewa jana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati wa kil...
ONA NAMNA MBOGA ZA MAJANI (BILINGANYA, KABEJI, MCHICHA NA SPINACHI) ZINAVYOFANYA KAZI ZAIDI NDANI YA MWILI WA MWANADAMU
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Mboga za majani zina umuhimu mkubwa sana kwa mwanadamu kwa kuwa zina virutubisho vingi ndani ya mwili wa mwanadamu. Mboga za majani ni mboga ambazo hazina gharama kubwa kiasi ambacho hata mtu wa hali ya chini anaweza kupata, ila sisi tuliowengi tunaona kuwa kununua mboga zenye gharama kubwa ndizo ambazo zina virutubisho vya kutosha kumbe si hivyo. Ngoja tuangalie hizi mboga za majani kwa mtazamo tofauti,mtazamo wa virutubisho,Baada ya yote,mboga za majani zinatoa nini ?Mboga za majani zote zina kitu kimoja muhimu sana,zinatoa nguvu kidogo na vitamin nyingi na madini zaidi ya vyakula vingine. Mboga za majani ya kijani kwa ujumla zina rutuba ya madini chuma,madini muhimu,vitamini A na C, madini ya chuma yanahitaji utengenezaji wa hemoglobin(kemikali katika seli nyekundu)yaani damu inayosafirisha okisijeni mwilini,na vitamin C zinasaidia upokeaji wa chuma kwa mfumo wa miili yetu.Pia ni vizuri kwa mtazamo kwa sababu ya uzuri wa vitamin A.Mboga za majani zote za njano...