ONA NAMNA MBOGA ZA MAJANI (BILINGANYA, KABEJI, MCHICHA NA SPINACHI) ZINAVYOFANYA KAZI ZAIDI NDANI YA MWILI WA MWANADAMU

Image result for MBOGA ZA MAJANI
Mboga za majani zina umuhimu mkubwa sana kwa mwanadamu kwa kuwa zina virutubisho vingi ndani ya mwili wa mwanadamu. Mboga za majani ni mboga ambazo hazina gharama kubwa kiasi ambacho hata mtu wa hali ya chini anaweza kupata, ila sisi tuliowengi tunaona kuwa kununua mboga zenye gharama kubwa ndizo ambazo zina virutubisho vya kutosha kumbe si hivyo.

Ngoja tuangalie hizi mboga za majani kwa mtazamo tofauti,mtazamo wa virutubisho,Baada ya yote,mboga za majani zinatoa nini ?Mboga za majani zote zina kitu kimoja muhimu sana,zinatoa nguvu kidogo na vitamin nyingi na madini zaidi ya vyakula vingine.

Mboga za majani ya kijani kwa ujumla zina rutuba ya madini chuma,madini muhimu,vitamini A na C, madini ya chuma yanahitaji utengenezaji wa hemoglobin(kemikali katika seli nyekundu)yaani damu inayosafirisha okisijeni mwilini,na vitamin C zinasaidia upokeaji wa chuma kwa mfumo wa miili yetu.Pia ni vizuri kwa mtazamo kwa sababu ya uzuri wa vitamin A.Mboga za majani zote za njano na nyekundu kama nyanya na maboga vimerutubishwa katika kundi A.Mboga za majani nyingine kama biringanya,bitter gourd vimurutubushwa katika kundi B vitamin,Ni zaidi ya vitamin,mboga za majani pia zina kiwango kizuri cha madini kama chuma,potasiamu na madini mengi muhimu pia nyuzi nyuzi(fiber) zinazosadia chakula tumboni kuyeyuka na kutumika kisha upate choo kwa wepesi.
Mboga za majani zinatumika katika kupunguza uzito wa chakula,kama kuondoa wingi na kukupa hamu, lakini inaondoa kalori chache.Wingi na maji yaliyomo kwenye mboga za majani pia husaidia kutibu ukosefu wa choo.
Mboga za majani,hususani zenye majani mengi zina kiwango kikubwa cha uchafu na vijidudu,kama azitosafishwa vizuri,pia zitasababisha kuhara kwa tumbo,Kwa hiyo zinabidi zisafishwe kwa umakini kabla ya kutumiwa.
Ili kupata ubora wa mboga za majani,zinabidi zitumike vizuri katika ubora wake na zioshwe kabla ya kukatwa.Chombo kinachotumika kupikia kinabidi kiwe kimefunikwa na kifuniko ili isipoteze vitamin C.
Mboga za majani zinabidi zitumike kila siku kwa kupunguza uzito kwa njia yoyote ile na magonjwa mengi yanazuiliwa kwa kula mboga zilizosafishwa na kupikwa zikiwa fresh .


BIRINGANYA
Image result for BILINGANYA
Biringanya zinapatikana kwa wingi ambapo mboga za majani nyingine ni adimu.Biringanya zina kiwamgo kikubwa cha vitamini B kuliko mboga za majai nyingine.Rangi zake ambazo ni nyeusi na zambarau zina vitamini C yenye radha nzuri zaid ya rangi yake.Biringanya zote zimegawanyika ndani ya madini tofauti,hususan magnesiam na potasiamu,ni nzuri kwa misuli na nguvu.
Kama dawa:
  • Mizizi ya mmea huu inajulikana kama anti-asthmatic. Chemsha mtu na kunywa kiasi nusu kikombe 1
  • Majani yake yana narcotic nguvu,rasmi ilio kwenye upande wa dawa nyingi.
  • Vyote majani na matunda ya biringanya yameripotiwa wazi kama mazao yanayoleta upungufu kwenye damu cholesterol
  • Juisi ya biringanya imefahamika kama kufaa kwa maumivu ya meno.



KABEJI
Image result for KABEJI
Kabeji ni moja wapo ya mboga za majani inayoleta afya,pia ina alkali( yaani kinyume cha asidi) katika utendaji,seli kubwa au inayosaidia kujenga mwili,ni kalori ndogo iliyomo.Ina imarisha utendaji kikemikali kwenye mwili,ni bora zaidi kutoa ushirikiano wakutoa nguvu,na kusafisha damu.Kabeji imegawanyika kwenye madini mengi:imejumuisha kalisiamu na potasiamu na ina fosforasi,sodiamu na salfa. Kwa ujumla ni muhimu kwenye mlo kwani kiafya inasaidia tumboni na mfumo wa chakula inausaidia.Ni bora kwa chanzo cha kupata vitamin A,B na C.
Kama dawa:
  • Inashauriwa kwa jambo la kuumwa kichwa mchana,kutosikia,huzuni,mpapatiko wa moyo,neuralgia,matatizo ya kifua na homa ya manjano.
  • Matumizi ya juisi ya kabeji kwa kutibu vidonda vya tumbo ni moja wapo ya kisasa na umuhimu sana kuendelea mbele ndani ya uwanja wa therapy
  • Pia inatumika kutibu saratani ya utumbo mpana.Juisi ikikaa katika ukuaji wa uvimbe wowote unasababishwa na ukuaji wa tishu usio wa kawaida na uponyaji wa uambukizaji wa utumbo mpana na tumbo.
  • Kutumia unga wa kabeji inasaidia ukurutu na uambukizaji wa ngozi kuondolewa.
  • Kabeji ni therapeutically kuleta hali ya kutibu ugonjwa wa ngozi,uvimbe wa shingo,ugonjwa wa macho,gout,rheumatism,pyorrhoea.
  • Kabeji inafaa sana kwa kusaidia kupata choo.
  • Kabeji inajulikana kama ni moja wapo ya chakula kizuri kinachotunzwa salama,kufahamika kwa usafi.


MCHICHA
Image result for mchicha
Mchicha kwa kawaida umekuwa ukijulikana kama majani ya mboga za majani yanayo ota wakati wa kiangazi.
Mchicha una virutubisho vingi muhimu na husaidia mwili kuwa imara na maradhi mengi hupungua kuushambulia mwili ukila mboga na mchicha pia.
Kama dawa:
  • Juisi ya majani yake yana faa kwa kutatua mtoto wa jicho.
  • Majani yake yaliyochemshwa yatumike kila siku yanasaidia macho kuona vizuri


SPINACHI
Image result for SPINACI
Spinachi zina aina mbili ambazo ni sifa na ubaya.Zinasifika kwa faida ya afya na kwa ubaya wa harufu yake na radha(ambapo ujulikana baada ya kupikwa).Kurudisha ubora wake,spinachi inabidi itoe mvuke wake au ipikwe kwa kiasi kidogo cha maji.
Spinachi ina chimbuko bora la vitamin C na A,chuma na potasiamu.Spinachi ina athari kwa kuharisha na inastaajabisha kwa kupunguza uzito. Inaongeza damu kama unayo kidogo
Spinachi ni nzuri kwa wale wanaoitaji chuma,chukua juisi ya majani ya spinachi ama mabichi au kwa kupika kama kutokoswa au kuchemshwa au supu.
Juisi ina rutuba kwa madini yote na nguvu ya organi ni nzuri kwa kusafisha damu toniki,kuponya eneo la matumbo,haemorrhoids,ukosefu wa damu na upungufu wa vitamin.
Spinachi ina kalisiamu kubwa inayoridhisha,lakini pia imejumuisha oxalic asidi.wote wenye matatizo ya ini,figo au arthritis inabidi kula spinachi kwa kiasi.
Kama dawa:
  • Pika mboga ya majani spinachi,kwa kawida kama desturi,inakinga dhidi ya saratani.
  • Juisi ya spinachi mbichi inywewe kila siku mara mbili kabla ya mlo inapunguza sukari kwa wenye sukari ya kupanda
  • Juisi ya majani ya spinachi ni nzuri kwa koo linalowasha.
Share this post :

Chapisha Maoni


Get This:Techkgp

PAGE VIEWERS

About Me

Blog Archive

Blog za rafiki zangu

Get This:Techkgp
3D Live Statistics
 
Support : The Bantu | Mufandish | Mufandish Inc
Copyright © 2011. MUFANDISH NEWS - All Rights Reserved
Template Created by Mufandish Inc Published by Mufandish Mufandish
Proudly powered by Blogger