MMILIKI WA BLOG YA THE BANTU NDUGU MUFANDISH J. MUFANDISH AFUNGA NDOA SEPT 18 2016

 Mufandish aliyevaa kanzu nyeupe na kilemba begani akisubiri tu tendo muhimu siku ya sep 18 Tabata Kinyerezi

 

 Mufandish akiwa na mke wake mara tu baada ya kufungishwa ndoa
 Mufandish akiwa katika picha ya pamoja na familia ya mkewe Bi Kaundime Bakari Mallingumu
 Mufandish akiwa katika picha ya pamoja ikiongozwa na Mh. Karume Mwamtuya



Allah ajaaliye ndoa hii iwe ya kheri na iweze kudumu 
Aaamin In Shaa Allah
 



Maoni

Chapisha Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA ZA KIAFYA ZA KITUNGUU MAJI KATIKA MWILI WA MWANADAMU

UFAHAMU MMEA WA MLONGE NA NAMNA UNAVYOFANYA KAZI NDANI YA MWILI WA MWANADAMU