WALIMU WA SHULE YA SEKONDARI UMWE WAFANYA TAFRIJA YA KUJENGA MAHUSIANO MAZURI LEO KAZINI

 

Walimu wa shule ya Sekondari Umwe iliyopo Kata ya Umwe Tarafa ya Ikwiriri Wilayani Rufiji wafanya tafrija fupi ambayo inalenga kukuza mahusiano mazuri kazini. Tafrija fupi ambayo imeongozwa na Mkuu wa Shule hiyo Ndugu Bakari Elisafi Mfingi ilifanyika kwa kuchinja Mbuzi, Kuku pamoja na chakula cha pamoja. The Bantu ilifanya mahojiano na Mkuu wa Shule hiyo akisema kuwa hii ni sehemu ya utaratibu wetu kama Stuff kujumuika pamoja kwa siku moja kwa kila term tukiwa na dhamira ya kukuza uhusiano kazini kwani tunaamini kuwa mahusiano mazuri kazini ndiyo yanayoleta ufanisi katika utendaji kazi wetu. Alisema Mfingi.

Habari Picha



















Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA ZA KIAFYA ZA KITUNGUU MAJI KATIKA MWILI WA MWANADAMU

UFAHAMU MMEA WA MLONGE NA NAMNA UNAVYOFANYA KAZI NDANI YA MWILI WA MWANADAMU