CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA WILAYA YA RUFIJI KATIKA KUADHIMISHA SIKUKUU YA MUUNGANO WAMETEMBELEA KITUO CHA AFYA KUWAFARIJI WAGONJWA

Na: Yussuf Yussuf
Chama cha Skauti Wilaya ya Rufiji mapema leo hii wametembelea kituo cha afya cha Ikwiriri kwa lengo la kuwatembelea wagonjwa na kuwafariji ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Chama hicho ni dasturi yao kwa kila matukio ya kitaifa yanapotokea hufanya mambo kama haya ya kujitolea kama ilivyo utamaduni wao. Sambamba na hilo wameweza kupata kujifunza historia hii ya Muungano kutoka kwa wazee walioushuhudia Muungano huo .






 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

FAIDA ZA KIAFYA ZA KITUNGUU MAJI KATIKA MWILI WA MWANADAMU

UFAHAMU MMEA WA MLONGE NA NAMNA UNAVYOFANYA KAZI NDANI YA MWILI WA MWANADAMU