Kitunguumaji ni aina ya mboga ya yungiyungi. Ni mboga yenye harufu kali inayochangamsha. Kitunguu kimethibitika kisayansi kuwa na manufaa makubwa sana katika afya ya mwanadamu. Zifuatazo ni faida za kiafya za kitunguu maji. 1. Juisi ya Kitunguu Huua vijidudu vya kifua kikuu. Tafiti mbalimbali za kisayansi zimethibitisha kuwa juisi ya kitunguu ina uwezo wa kuua vijidudu vinavyo sababisha maradhi ya kifua-kikuu ( Huua baada tu ya mgonjwa kunusa moshi wake) 2. Kitunguu maji huongeza hamu ya kula. Kitunguu maji kikifanyiwa kuwa achari, ukali wake hupungua huongeza mno hamu ya kula. 2. Huupa mwili nishati na nguvu Kitunguu maj...
BOFYA MKOA KUONA MATOKEO KATIKA MKOA HUO ARUSHA DAR ES SALAAM PWANI IRINGA KAGERA DODOMA GEITA KIGOMA MWANZA LINDI MOROGORO MTWARA SIMIYU SONGWE KATAVI TANGA SHINYANGA KAGERA SINGIDA RUKWA NJOMBE MANYARA MARA KILIMANJARO TABORA RUVUMA
Mlonge au Moringa oleifera kwa kiingereza umekuwa ukijulikana kama mti wa miujiza kwa karne nyingi katika baadhi ya nchi za Afrika, Asia na katika nchi za Caribbean. Mti huu umeripotiwa kutibu zaidi ya magonjwa 300 ikiwemo magonjwa mbalimbali sugu. Karibu kila sehemu ya mti huu hutumika kama dawa. Majani ya mlonge yanaweza kutafunwa mabichi, yaliyochemshwa kama mboga au yaliyokaushwa na kusagwa kuwa unga. Unga wa mlonge unaweza kuhifadhiwa kwa miezi kadhaa bila kupoteza ubora na faida zake za kiafya. Mbegu za mlonge zimekuwa dili kubwa duniani kwa sasa, zinahitajika kwa kiasi kikubwa katika nchi ya Marekani na China na kwa mjibu wa taarifa ni kuwa zinauzwa mpaka shilingi 45000 ya Tanzania kwa gramu 500. Walikuja pia wachina kuzinunua kwa wingi na walipokuwepo hapa Tanzania bei ya mbegu za mlonge ilifika mpaka 11000 kwa kg kwa bei ya jumla yaani kwa anayechukua kg 100 au 500 au 1000 na kwenda juu. Taarifa zisizo rasmi zinadai Wachina hawa walikimbia nchini baada ya serikali ...
Maoni
Chapisha Maoni